Nataka kuwafahamu

Nataka kuwafahamu

mpuko unachat ndotoni nn umeonaje kama hatulali.
 
Last edited by a moderator:
modo as well me,black beaut as well as me
 
Uwiiii we babu kiboko heee. Valentina come thiz way sweet. Hivi atatuweza sisi?
Hivi unajua sisi bado kabisa tutakuvunja nyonga tu wee babu, bibi apate kazi ya kukuuguza.

Nyonga yangu inanisumbua sana. nimetafuta wa kuivunja nikakosa. hatimaye kilio changu kimesikika, mtanivunja lini niandae bandeji kabisa???
 
Nyonga yangu inanisumbua sana. nimetafuta wa kuivunja nikakosa. hatimaye kilio changu kimesikika, mtanivunja lini niandae bandeji kabisa???

Ngoja kikao cha kamati ya ufundi kikae, tukuvunje vunje.
 
we dogo liiv mai jukuuz alon pliiis....

Kwani babu unahisi atakuwa ni me? Sasa itabidi mtafute jinsi ya kujua km ni ke au me. Hii itakuwa balaa mi mbio za marathon siziwezagi atii
 
Huyu babu ni matatizo tu. Haya mambo wazee mwisho chalinze ndio yamemuharibu.
 
Uwiiii we babu kiboko heee. Valentina come thiz way sweet. Hivi atatuweza sisi?
Hivi unajua sisi bado kabisa tutakuvunja nyonga tu wee babu, bibi apate kazi ya kukuuguza.

Uyo anataka aresti ini pisi mapema kwa haya mapigo
 
Back
Top Bottom