Nataka kuwafahamu

Nataka kuwafahamu

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna
Mababu mabinamu mawifi
Mara mr na mrs.
Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au
Siombaya nikapewa majibu na mimi nifahamu jamani.
 
Kabla hatujakujibu tuelimishe jinsia yako. Kama ni jinsia pendwa ya kike, then kam zis wei kwa ukaguzi. Tena uje without. Kama ni jinsia ME karibu sana Chitchat. Hairuhusiwi kutongoza warembo wa humu bila kibali changu.

Lady doctor njoo huku kwa maelekezo ya kina.
 
Last edited by a moderator:

Mheshimiwa spika namba mwongozo wa kiti!
 
Last edited by a moderator:
a.rahabu karibu cc. ila ngoja nimuombe babu Asprin kuongea.
cc:Asprin
 
sasa ukishawafahamu unataka kuwafanyia nini tena
au ndo unataka kujua kuwa ni kweli au sikweli
ngoja aje babu Asprin tusaidie hapa huyu mtu
anataka kujua couple za humu mjengoni kama ni kweli
Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna
Mababu mabinamu mawifi
Mara mr na mrs.
Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au
Siombaya nikapewa majibu na mimi nifahamu jamani.
 
Last edited by a moderator:
mheshiwa tuulize wazoefu. Nlishatongoza mtu humu nikajua ni kimwana. Tulivopanga kukutana kumbe bonge la njemba. Hiyo ndo siku niliyojua nina kipaji cha riadha....
Hahahahahaaaa kumbe siku zote ulikuwa haujui ni mwanariadha mzuri!
 
Back
Top Bottom