Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Ngoja nifanye fasta namalizia malizia maandalizi
Yani umenichomesha mahindi PM mpaka baioloji inataka kuleta mgomo.
Ngoja nifanye fasta namalizia malizia maandalizi
Yani umenichomesha mahindi PM mpaka baioloji inataka kuleta mgomo.
Si unajua without inahitaji preparation kubwa just wait a minute I will be there
Hakyamama.... Yani ungenitia??? Ungenitia???? Yani unitie nakoz?? Nisingekubali. Nami lazima ningekutia. Tena ningekutia sana mpaka ulie. Yani lazima Ningekutia bakora. Tena za makalioni.
Toba yarabii!!
Afanaaleki, kufa hakuna breki.
Fanya basi haraka.
Afu uwe na adabu kwa wazee. Unajua bado nadai mafao yangu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki afu unaniharakisha kama cha kwanza.
Sasa wewe ulitaka nilale huko? una mabilioni mangapi ya kunilipa mpaka usifanye haraka.
Ningeondoka si ushukuru ukaguzi umeisha salama.
Kumbe ulifanya ukaguzi na kwa Honey faith loh sina hamu nawewe babu.
Honey Faith sijamkagua. Kwanza nna mashaka na jinsia yake. Siku nlitongozaga humu nikijua kidemu. Siku ya miadi nkakutana na kidume ***** zake. Hiyo siku ndo nlijua nna kipaji cha riadha za marathon. Mi sipendi ushirikiano wa kikojoleo changu na vijambio vya kiume...
Mbona unaniyeyusha sasa nakusubiria hata hautokezi
We ni he au she?
Mm ni she
Honey Faith sijamkagua. Kwanza nna mashaka na jinsia yake. Siku nlitongozaga humu nikijua kidemu. Siku ya miadi nkakutana na kidume ***** zake. Hiyo siku ndo nlijua nna kipaji cha riadha za marathon. Mi sipendi ushirikiano wa kikojoleo changu na vijambio vya kiume...
Hahahahahahahahhahaa Manina zako we Bazaz
Umeoona eeeh huyu Bazaz kweli balaaa