Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Aise kweli inabidi tupange kabisa
Tena kamati ya ufundi, hili best asubirie tu.
Aise kweli inabidi tupange kabisa
Tena kamati ya ufundi, hili best asubirie tu.
We subiri tu tutakufanyia kweli. Uje kuhadithia yatakayokukuta
Hiyo threesome itanogaje? fanyeni haraka nna hamu na nyie.
Akili yako inawaza chini ya kiuno eeeh. Sisi tunajua nini cha kukufanyia. Hahahaaa eti tufanye haraka aisee umeshindikana wewe.
Sijashindíkana, mkijituma mtanishinda. Sasa lini tufanye?
Mimi ni ke
Uwiiii we babu kiboko heee. Valentina come thiz way sweet. Hivi atatuweza sisi?
Hivi unajua sisi bado kabisa tutakuvunja nyonga tu wee babu, bibi apate kazi ya kukuuguza.
kwani kujuana vibaya jamani hv kutakuaje na mgeni sehemu asiye uliza hata swali wakati chansi anayo
Msiache kunipa report mkishamvunja babu nyonga zake
Umeonaee anatuchezea sisi MOI kunamwita au India kabisa maana tutamvunja mifupa yote huyo babu yenu.
nafarijika kila nikikuona Bantu lady
yaani jinsi ulivyo ndo nilivyo mm kama mapacha walioshare bibi na babu