Let me put this clear maana naona sasa watu wanaibuka na ya kwao hivi,
Nimesema sasa nataka kuwa JF Premium Member na wakati nasema hivyo nilijua kabisa kwamba kuna kitu fulani natakiwa kufanya kufikia status hiyo. Nimesema hapa nikatoa na sababu why nataka kuwa Premium member sasa watu wamekazana kunambia nichangie nichangie kwani nani kasema ukisema tu hapa unataka kuwa premium member then unakuwa?
Arrrgh!
Thnx kwa wale walionambia niwasiliane na INVISIBLE maana wao wamenionyesha njia ya nini cha kufanya sio wale waliokalia kunambia nichangie nichangie wakati wao hawajachangia chochote