Hili neno nadhani
lilitokana na wanamziki kutoka Zaire (Congo). Ni neno la kifaransa
"prodiguer" likimaanisha "wasteful au
tupatupa". Kwa hiyo kama hela yako sio ya kuhesabia chooni
unaweza tu ukatumia kifisadi na muda si mrefu tutakuita Monsieur
prodiguer au pedeshee, pedegee, pdg.