Tengeneza sera (Policy) halafu uishi kwa hizo.
mfano: n i marufuku kumpa mtu hela kwa kumwamini tu
sitasikiliza shida ya mtu kabka sijashughulikia za kwangu
sitatoa kuliko uwezo wangu
nitamsamehe mtu lakini sitamrudisha kwenye mpango uliokua unaendelea
sifanyi kitu chochote ambacho hakimo katika work plan na budget yangu.
nitatoa au kufanya kitu kile tu ambacho nimekiiingiza kwenye mpango kazi
sitatamani cha mtu wala sitataka kumtamanisha mtu au kumshawishi mtu ili kumvuta kwangu.
.......