Karakwende
Member
- Apr 14, 2015
- 26
- 5
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Kunywa maji ya betri
KWANZA;Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Acha kutafuta roho mbaya kama unatatizo sasa litatue. Huenda kwa huruma yako umekopesha mtu anakuzungusha au unashindwa kumdai. Wa endelea kumdai tu.
K*bakwe
Roho mbaya ni kama ipi Karakwende? Juzi umejiunga home to Great thinkers, jana umekuwa approved na leo unakuja na post hii?
Tutaona na kusikia mengi, wenzako huwa wanasalimia waliowakuta kwanza, kutokusalimia tayari ushaanza kuleta roho mbaya humu.
Inaonyesha una roho mbaya sana mpaka hapo.