Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Hili ni jambo la Kiasili mno hutaweza na siku ukijaribu utapata maumivu ya rohoni na kuhukumiwa mno na nafsi
 
At certain point huwa pia nataman ningekuwa mkatili sana...but then...hayo mambo yakipita narudia uungwa wangu....!
 
Hasira hasara na usiombe roho ya ukatiri ndugu kama kuna vitu vina nitesa ni ukatili nilio nao najitahidi kuondoa iyo roho ya ukatili lakini nashindwa na sijui nifanyeje maana hadi mtaani kwangu naishi kwa shida kaka mshukuru mungu kwa upole ulio nao.
 
Tumefanya Makosa Kuwapeleka Watu Wazima Milembe Kwa Madai Kwamba Ni Machizi Na Mataahira Wakati Machizi Yenye Degree Yapo Humu Ndani.
Nakushauri Nenda Katumie Conc.Nucleus Then Utakuwa Mkatili Huko Kwa Wakatili Wenzako Sio Hapa Duniani.
Toa Hoja Za Msingi Wewe Kama Vipi Jikatae.
 
kamtembelee ndugu Scorpion mtoboa macho atakupa mwongozo na kozi aliyosomea
 
Habari wanajf ...natanguliza pole kwa kijana hapo kwa masahibu yanayomkuta mpaka anafikiria kuwa mwenye roho mbaya,napia nmeskitika kwakuwa kijana hajapewa ushaur badala yake ameanza kuonekana wakuja.katika jamii yetu saiv tumekuwa tunaendeshwa kwa hisia sana yaani wachache tu wakitoa mawazo hasi basi watu wengi wataunga mkono bila kuangalia upande wa pili.huju kijana aulizwe chanzo ninin mpaka afikirie hivyo ambapo sana sana atasema anatenda wema lakin anaumizwa had an watu ambao hategemei watamuumiza(he has put too much expectation in people)na ndokinachomuumiza ushauri wangu tenda wema uende zako.wakikuumiza jarib kuvaa viatu vyao .Mara nyingi muumba hukupa unachokiweza tu .hajawahi kumuonea yeyote ,hvyo kuwa mpole and enjoy the life [HASHTAG]#sote[/HASHTAG] nindugu
 
Anza kuvuta bangi pisi 10 na kunywa viroba 5 halafu jiweke kwenye uroho mby

Baada ya wiki 4 nipe mrejesho
 
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
kula mavi yako ujazo wa kilo 8 utakuwa tayar umefanikiwa
 
Back
Top Bottom