basi uwez kuwa katili
unashangaa unacheka au unauliza au hujui wanachofanya ccm ?
kula paka
Ahaa. Kama wewe ni mkristo soma Warumi 12:14-21. Kama ni muislam tafuta aya zinazozngumzia hili. Asante.
Hamia CCM
Roho mbaya ni kama ipi Karakwende? Juzi umejiunga home to Great thinkers, jana umekuwa approved na leo unakuja na post hii?
Tutaona na kusikia mengi, wenzako huwa wanasalimia waliowakuta kwanza, kutokusalimia tayari ushaanza kuleta roho mbaya humu.
Inaonyesha una roho mbaya sana mpaka hapo.
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Uume? neverAnza kwa kujikata vidole vya mikono yako au miguu yako...
Endelea kwa kutoboa macho yako, kata uume wako...
Kama ukiweza kujitendea ubaya wewe mwenyewe basi utakuwa umefikia daraja la juu la ukatili...
Uume? never
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
hahahahaha mzee umeniaacha hoi kweli ahamie ccm ndo kuna wauaji,wala nyama za watu ,na mashetaniHamia CCM
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?