Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nataka kuwa na roho ya ukatili

Very interesting! Jana si uliwaona waliokamatwa msikitini au yule kijana wa Bihawana sec aliyekamatwa akiwa juu ya dari kule Garissa, Kenya? Jiunge nao utapata ujasiri wa ukatili unaoutaka.

uwoo mimi sitakii bali kwanye family yetu wananiona mi mpole xana
 
Roho ya kikatili ya vipi?? Uuaji au..........!!!!
 
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?

Ndugu una msongo wa mawazo.
Fanya sana mazoezi.
 
ha ha ha haaah mkuu umenichekesha sana aisee. Tumekuwa sugu na madhila ya CCM

Watanzania wa miaka ya 80 si wa sasa. Wasasa wakatili sana. Hata kuiba mali za umma ni ukatili tosha
 
Back
Top Bottom