Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Wasalimie form two C
 
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
Mtafute big gift alieandika huu uzi Msaada: Nina roho mbaya sana jamani

na pia Goodhearted alieandika huu uzi Wenye roho mbaya kumbe tupo wengi.

Kaa nao chini uwaeleze kinaga ubaga ni nini hasa unataka. Hawa jamaa ni wazoefu bobezi kwenye hiyo sekta ya Uroho mbaya hivyo wakikuelewa basi utafanikisha kila kitu. Usiwafiche chochote na wala usiwaonee haya.
 
Kuwa gaidi/mwenye imani au siasa kali. Utakuwa unakula vichwa kama vile unalia tu. Na wewe ukabidhiwe kile kitengo cha kula vichwa kwa wasio na msimamo kama wako au msimamo wa wastani.
 
Habari wanajf ...natanguliza pole kwa kijana hapo kwa masahibu yanayomkuta mpaka anafikiria kuwa mwenye roho mbaya,napia nmeskitika kwakuwa kijana hajapewa ushaur badala yake ameanza kuonekana wakuja.katika jamii yetu saiv tumekuwa tunaendeshwa kwa hisia sana yaani wachache tu wakitoa mawazo hasi basi watu wengi wataunga mkono bila kuangalia upande wa pili.huju kijana aulizwe chanzo ninin mpaka afikirie hivyo ambapo sana sana atasema anatenda wema lakin anaumizwa had an watu ambao hategemei watamuumiza(he has put too much expectation in people)na ndokinachomuumiza ushauri wangu tenda wema uende zako.wakikuumiza jarib kuvaa viatu vyao .Mara nyingi muumba hukupa unachokiweza tu .hajawahi kumuonea yeyote ,hvyo kuwa mpole and enjoy the life [HASHTAG]#sote[/HASHTAG] nindugu
Sawa mkuu nimekuelewa sana na mungu akubariki kwa ushauri mzur xana kwangu
 
Roho mbaya ni kama ipi Karakwende? Juzi umejiunga home to Great thinkers, jana umekuwa approved na leo unakuja na post hii?

Tutaona na kusikia mengi, wenzako huwa wanasalimia waliowakuta kwanza, kutokusalimia tayari ushaanza kuleta roho mbaya humu.

Inaonyesha una roho mbaya sana mpaka hapo.
Anataka aongezee japo kidogo aliyokuwa nayo aimtoshi
 
Kunywa dawa ya panya
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?
 
Role model wako akiwa ustaadh Ilunga Kapungu... Hiyo roho utaipata tu.
 
Ukishaipata roho mbaya hata hicho unachotaka kukilinda utakiharibu mali haidumu ila utu unadumu.
 
Anza kuchinja ndege, wanyama wadogo wadogo na baadae wanyama wakubwa kama Ngo'mbe jizoeshe utafanikiwa. Jiandae kufanyiwa ukatili pia wewe na wote unaowapenda
 
Back
Top Bottom