Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nataka kuwa na roho ya ukatili

Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?

kula moyo wa simba......
 
Nahitaji maoni yenu mimi kijana wa miaka 23 nina roho ya huruma sana ila kwa sasa nahitaji kutoa roho hiyo, nifanye nini ili niweze kuwa na roho ngumu, mbaya mkatili nisiwe na huruma kabisa?

Kajiunge na Magaidi ya ISIS, Boko Haram, al shabaab, etc al.
 
comment zinanipa raha.This iz ma favourite uzi ever!
 
Nenda kavamie ikulu, ukifanikiwa kutoka lazima utakua katili.
 
Tafuna pili pili kichaa kwa muda wa siku saba. Alafu jiloweke kwenye pipa linalofuka moshi wa bangi kwa siku tatu.. Alafu shinda njaa kwa muda wa siku mbili.
 
Nisikilize kwa makini wachana na upuuzi uliongelewa hapa.

Huhitaji Roho Ya Ukatili kama mbadala wa Roho ya Huruma. Mbadala wa Roho ya huruma ni ROHO YA UJASIRI. Utagundua kuwa .. ni hali zinazofanana.

Kwa nini unajitaji ujasiri na na si ukatili. Dunia ilivoleo huruma inamfanya mtu aonewe akose haki na mambo mengine kinyume na haki za binadamu. Kwa hiyo muathirika anakata shauri kuwa ukatili ndio jibu. Si kweli. jibu ni ujasiri.

Ujasiri si kinyume na haki za binadamu bali ukatili.

Unahitaji kuwa imara jasiri na serous na maisha ili kupambana na kuwashinda wakatili .. waonevu .. na wote wenye roho mbaya.

This is the Best comment in this thread...!
Thanks mkuu na mm nimejifunza kitu.
 
Tafuna pili pili kichaa kwa muda wa siku saba. Alafu jiloweke kwenye pipa linalofuka moshi wa bangi kwa siku tatu.. Alafu shinda njaa kwa muda wa siku mbili.

Sasa mkuu hapo si atakuwa mwehu. hahahaha
 
Nisikilize kwa makini wachana na upuuzi uliongelewa hapa.

Huhitaji Roho Ya Ukatili kama mbadala wa Roho ya Huruma. Mbadala wa Roho ya huruma ni ROHO YA UJASIRI. Utagundua kuwa .. ni hali zinazofanana.

Kwa nini unajitaji ujasiri na na si ukatili. Dunia ilivoleo huruma inamfanya mtu aonewe akose haki na mambo mengine kinyume na haki za binadamu. Kwa hiyo muathirika anakata shauri kuwa ukatili ndio jibu. Si kweli. jibu ni ujasiri.

Ujasiri si kinyume na haki za binadamu bali ukatili.

Unahitaji kuwa imara jasiri na serous na maisha ili kupambana na kuwashinda wakatili .. waonevu .. na wote wenye roho mbaya.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom