kisumapai
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 544
- 219
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.
Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.
Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.