Nataka kuwa Mwanajeshi (JWTZ)

Nataka kuwa Mwanajeshi (JWTZ)

mujesh anavokfa mwanajesh anazaliwa mi mwenyewe ni mjesh mtarajiwa bora nkafe kuwatetea vlaza wabongo ndege iliyomleta raic wa chna iliondoka na tembo duu tz ngoja niende jesh na ka elimu kangu ntawakazia mura
 
Kama wewe kula Kuala uwezi alafu we wewe unaonyesha motto wamama utaweza
 
mujesh anavokfa mwanajesh anazaliwa mi mwenyewe ni mjesh mtarajiwa bora nkafe kuwatetea vlaza wabongo ndege iliyomleta raic wa chna iliondoka na tembo duu tz ngoja niende jesh na ka elimu kangu ntawakazia mura

Mimi sio mwanajeshi ila nijuavyo jeshini lazma uwe mtiifu especially kama mwanajeshi amekuzidi cheo, sasa kwa jinsi nionavyo wewe ndo utaamrishwa kupakia hizo pembe za ndovu na salute juu.
 
Hahahaa hizi kazi sasa zinatafutwa kwa tochi. Kule utakiwi kwenda nusu nusu watu huwa wanazimia kule babake. Kma nyie ndo wageni mnakuja mnawakuta wanaomalizia wanajiandaa kuondoka hao ndo wanawapa mazoezi bwana weee n kama mtihani anatunga mwanafunzi mwenzako anataka ufeli umuone yeye nomaaaa. Hakuna kulalaaa utembelee vipepsi posta hadi kibahaa mchezo nini
Mh, nilikwepakwepa kwenda jeshi toka namaliza kidato cha sita, sasa hivi naona sina ujanja....maji yamenishika shingoni...sikufikiria kama siku moja nitakuwa mwanajeshi, ila naona ndivyo inavyokwenda kuwa...najiandaa tu kisaikolojia hivi sasa. Hayo mazoezi ndio siyapatii picha, kama hadi ule ganja ndio uendane nayo...sijui!
 
Mmmmh wamebeba nyama waliopewa na nani?
mujesh anavokfa mwanajesh anazaliwa mi mwenyewe ni mjesh mtarajiwa bora nkafe kuwatetea vlaza wabongo ndege iliyomleta raic wa chna iliondoka na tembo duu tz ngoja niende jesh na ka elimu kangu ntawakazia mura
 
nataka jeshi kubwa kama korea kaskazin lenye wataalam kisayansi,kiteknolojia,uchumi,kijamii,kimichezo,kiutamaduni wengi,asiyetaka akaishi uhamishon mpka ntakapokufa
 
Karibu kiongozi,
 
Hahahaa hizi kazi sasa zinatafutwa kwa tochi. Kule utakiwi kwenda nusu nusu watu huwa wanazimia kule babake. Kma nyie ndo wageni mnakuja mnawakuta wanaomalizia wanajiandaa kuondoka hao ndo wanawapa mazoezi bwana weee n kama mtihani anatunga mwanafunzi mwenzako anataka ufeli umuone yeye nomaaaa. Hakuna kulalaaa utembelee vipepsi posta hadi kibahaa mchezo nini
Dah...! Kisaikolojia nimejiandaa vya kutosha....hayo mazoezi....nitaweza tu bana.. I am a man!
 
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.

Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.

Mkuu kwani wewe ni kabila gani? maana kuna kabila ambalo ili uonekane shujaa unatakiwe uwe mjeshi.
 
Back
Top Bottom