Nataka kuwa Mwanajeshi (JWTZ)

Nataka kuwa Mwanajeshi (JWTZ)

Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.

Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.

Hata hiyo kazi ambayo mama yako anataka uifanye unaweza ukawa na tabia mbaya mfano ulevi, umalaya na hata kuvuta bangi.Vita vikitokea wote wanakufa iwe wananchi ama askari so to me there is no point hata kidogo.Cha msingi is to follow your heart na kuwa na discipline basi
 
Mimi sifahamu vizuri kuhusu jeshi lakini naona ktk kipindi cha vita jeshini ndiko sehemu salama zaidi kuliko uraiani.

1.Mwanajeshi anakua na silaha za kujilinda na kushambulia adui.

2. Kipindi cha vita bajeti kubwa ya nchi inaelekezwa jeshini,kwahiyo atakua na uhakika wa chakula,matibabu n.k

Ktk vita Raia ndo wanateseka kuliko wanajeshi,REFFER Darfur,Sudan kusini n.k
 
Pia msikilize mama yako,
yeye anataka upate kazi kwakua jeshi sio kazi ndo maana huwa wanajeshi hawaajiriwi wanaandikishwa tu.
 
nakuunga mkono kitendo cha kuwa mwanausalama ni kitendo cha uzalendo wa hali ya juu!! kama mimi binafsi nipo tayari kwa msaada wowote ili uende huko utimize nia yako ya kuuvaa uzalendo halisi! Na siku zote nitakuheshimu kama mwanachi namba moja wa jamuhuri ya muungano tena bila hata kitambulisho cha uraia wala cha kupiga kura!

Sent from my iPhone
 
Ni rahisi katafute gwanda na buti uvae alafu uvute dude la kimataifa
 
ukiwa mwanajeshi badala ya kisumapai utakuwa kisumakunani.
 
Z

Haya afande...ila si usubiri mwanao akue kue kwanza?
 
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.

Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.

Download and read this http://mrmc.amedd.army.mil/content/awards/docs/2013feb-essaywinner.pdf
 
Ni rahisi katafute gwanda na buti uvae alafu uvute dude la kimataifa

Discipline and standards are not extraordinarily complicated, or hard to maintain.

Discipline and standards simply are the why and the how of being an Army professional
 
Discipline and standards are not extraordinarily complicated, or hard to maintain.

Discipline and standards simply are the why and the how of being an Army professional

Nadhani umesoma na kuelewa that piece of writing. Nidhamu kwa kawaida inaanzia nyumbani unapoishi, jeshini huwa wanakazia tu!
 
Pia msikilize mama yako,
yeye anataka upate kazi kwakua jeshi sio kazi ndo maana huwa wanajeshi hawaajiriwi wanaandikishwa tu.

acha dharau na mtazamo hasi huo. usimkatishe tamaa mwenzio. jeshi ni kazi tena ya kiume.
 
Back
Top Bottom