Nataka kuwa Mchawi

Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
duh.. kasheshe hii huenda usemi wa donald trump ukawa kweli hebu waifanyie uchunguzi hoja yake🙂
 
Reactions: M45
Basi haupo serious hapa kwetu hakuna chuo cha maana sana sana utashindishwa uchi upakawe majivu na mikaa na kuchunguliwa matusi...!baasi

Kumbe hakuna mganga wa ukweli bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…