ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,363
- 4,111
Nina note 8 i
Yakwangu ime krack kioo,gharama za matengenezo ya display nimeambiwa ni laki saba.
Nafikiria kuuza utumbo wa hiyo simu yaani mashine shida imekaa muda mrefu parten yake nimeisahau,nafanyeje kuvihamisha vitu vyangu ,pili nawatangazia nitauza sh 700000 hiyo simu.