ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 16, 2011 #1 Kuna jambo nimetamani kulijua ila naogopa 'maneno' ntakayoporomoshewa naweza nikakosa usingizi wa leo!!!!!!!
Kuna jambo nimetamani kulijua ila naogopa 'maneno' ntakayoporomoshewa naweza nikakosa usingizi wa leo!!!!!!!
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Nov 16, 2011 #2 sema tu mkuu! hii ni home of great thinkers hawana noma>>>........
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 889 Nov 16, 2011 #3 uliza tu mdau. ukijibiwa poa, ukitukanwa vunga!
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 16, 2011 #4 Uliza tutakulinda na mashambulizi mkuu!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 16, 2011 Thread starter #5 nilishaambiwa mimi ni mkabila kwa kuwa nilikuwa nataka kujua ukweli wa kabila fulani la mkoa wa kaskazini mwa tanzania
nilishaambiwa mimi ni mkabila kwa kuwa nilikuwa nataka kujua ukweli wa kabila fulani la mkoa wa kaskazini mwa tanzania
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Nov 16, 2011 #6 Mficha maradhi kifo humuumbua, na mficha uchi hazai! Ila kwa mademu wa kileo hakuna anaeficha uchi!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 16, 2011 Thread starter #7 Jason bourne said: Mficha maradhi kifo humuumbua, na mficha uchi hazai! Ila kwa mademu wa kileo hakuna anaeficha uchi! Click to expand... huko umeenda mbali sana mkuu, mbona mnawaonea sana hao viumbe, why? Kama hawafichi basi kuna ambao nao hawafichi kama ilivyo kwa mademu
Jason bourne said: Mficha maradhi kifo humuumbua, na mficha uchi hazai! Ila kwa mademu wa kileo hakuna anaeficha uchi! Click to expand... huko umeenda mbali sana mkuu, mbona mnawaonea sana hao viumbe, why? Kama hawafichi basi kuna ambao nao hawafichi kama ilivyo kwa mademu
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Nov 16, 2011 #8 kama umeshindwa kuuliza basi huna jipya
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Nov 16, 2011 #9 ndyoko said: nilishaambiwa mimi ni mkabila kwa kuwa nilikuwa nataka kujua ukweli wa kabila fulani la mkoa wa kaskazini mwa tanzania Click to expand... Sema usikike. Kama unaogopa mashushu ya watu usowajua we HUFAI
ndyoko said: nilishaambiwa mimi ni mkabila kwa kuwa nilikuwa nataka kujua ukweli wa kabila fulani la mkoa wa kaskazini mwa tanzania Click to expand... Sema usikike. Kama unaogopa mashushu ya watu usowajua we HUFAI
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,438 Nov 16, 2011 #10 Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha.............
Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha.............
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 16, 2011 Thread starter #11 Mtambuzi said: Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha............. Click to expand... Hahahahaaaaaaaa! umejuaje kaka, au ndo tuseme umerithi 'mikoba' ya shekhe yahya nini.......................!
Mtambuzi said: Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha............. Click to expand... Hahahahaaaaaaaa! umejuaje kaka, au ndo tuseme umerithi 'mikoba' ya shekhe yahya nini.......................!
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Nov 16, 2011 #12 Kama unashindwa kuweka hapa hadharani. Wa-PM member wote. Wakujibu kwa njia hiyohiyo.
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 17, 2011 Thread starter #13 Mzee said: Kama unashindwa kuweka hapa hadharani. Wa-PM member wote. Wakujibu kwa njia hiyohiyo. Click to expand... uko serious kweli?
Mzee said: Kama unashindwa kuweka hapa hadharani. Wa-PM member wote. Wakujibu kwa njia hiyohiyo. Click to expand... uko serious kweli?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Nov 17, 2011 #14 Naona hapa tunauza kahawa kwa mtogole, napita tu mie na mipresha huwa stumii
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 17, 2011 #15 weka mambo hadharani.... Nalog off
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Nov 17, 2011 #16 Uliza tukutafune mzima mzima tukashushie na konyagi.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Nov 17, 2011 #17 Ndyoko usiulize kakangu. Amini mtima wako. Kahawa imeisha humu?
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Nov 17, 2011 #18 Weweeee
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 618 Nov 17, 2011 #19 usiogope we uliza tu.
G Gamalle Member Joined Oct 22, 2010 Posts 11 Reaction score 0 Nov 18, 2011 #20 Uliza hautatukanwa sana, itakuwa kidogo tu