Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,755
- 12,453
Wewe ni kula kulala kamwe huwezi kuniambia kitu eti nifanye mara nachagua kazi,kweli nachagua kazi,siwezi kazi ya kuzibua marinda,ambayo wewe umezoea.Umepaniki kijana kunywa maji baridi upoe haka ka mchezo hakahitaji hasira.
Born town wa wapi wewe?
We ni cowboy mmoja tu hivi ambaye huna lolote ila ushamba umekuzidi hata wanaosoma unayoandika wanajua we ni mshamba.
Ujinga ulionao kwamba mtu akimaliza form 4 kata basi ana mawazo finyu,we kama sio mshamba ni nani?
Haya nimekutolea mfano Diamond si yule pale na form 4 failure yake unamfikia hata robo?
Ndicho nilichotolea mfano kwamba usiwe na dharau na mimi sina upenzi saana na muziki wala Diamond sio role model wangu.
Huna lolote wala chochote zaidi ya kujikweza kwenye no.
Unanipiga biti za kishaaaaaamba eti unamjua Mack,hivi nani humu jf hamjui Mack?
Mtoto wa kiume pambana wanaume hatunaga hizo tabia,type ya mtu kama wewe ndio kama waleee utasikia (baba yangu flan)
(Shemeji yangu ni fulani)
Halafu watu kama wewe ni wabaguzi wa kazi na kujikweza yaani jinsi unavyoandika ndio nazidi kukusoma.
Halafu wewe unapenda short cut kwenye maisha angalia usiwe mwizi na acha uvivu.
Pia fanya kazi jitume utatoka unawaza saaana ngono na imekujaa na imetawala kichwa chako ndio maana unaandika upumbavu na matusi.
Mimi nimekusoma wewe ni mtu wa design hio anza kusoma vitabu uwe wise kijana.
Acha ushamba wa kujikweza ni tabia ya kizamani.
Vijana sasa inapaswa tufanye kazi,tujitume tupendane sio kudharau wenzio.
Fanyia kazi.
Eti unapenda short cut!??? Unafurahisha nafsi yako kuandika ujinga.
Nikianza kuandika status yangu halisi si ndio chupi itagonga mav*
Ficha ujinga wako,usirudie kokomenti pumba kwenye post za wanaume wewe dogo,utavalishwa dera endelea tu!!