Nataka kurisit advanced.

TheEagle90

New Member
Jan 28, 2019
1
1
Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda chuo ,apo mana mda nao unakimbia sana,apa utaanza na professional moja kwa kwa moja,na hautajutia kama utachagua program sahihi.
 
Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kurudia na ukafanya vizuri tu. Wapo wenzako waliokuwa na shida ya credits kama wewe lakini walisoma advance kutumia special need programs, na sasa wapo vyuoni wakichukua first degree zao. Na hata sasa hivi wapo wengine.....nakushauri kijana, achana na mambo ya collage, kubali kupiga tena pepa katika mfumo wa ajabu sana, afu utakuja siku moja kuniambia.

Ukitaka msaada zaidi nichek pm, nitakupa muongozo nini ufanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurudia mtihani advance inahitaji moyo na kujitoa,
Kwa mtazamo wangu nahisi mitihani inasahishwa sawa tu kwa PC na School candidate utofauti huja sehemu moja,,,school candidate anakuwa na mazingira mazuri ya kujiandaa tofauti na private candidate ambaye unakuta anafnya shughuli zake nyngne Hana mazingira rafiki Sana ya kumuandaa... performance yao haiwez kulingana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nin ndot yako ! Ndio jib rahis ikiwa hich ulichopata kitakuwezesha hata kwa level ndog Bora uanza maan mfumo unavadilik Kila siku utajikuta baaday huna sif kumbe ulizembea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia shambani mkuu piga kazi
Elimu ya kidato cha sita inatosha kabisa kwa maisha ya sasa
Ndani ya miaka mitatu utakuwa mbali sana
Ushauri cheza na soko la mazao
 
Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama risitaz ama candidate wa kawaida na inawezekana?Pia naskia wanaoludia mitihan yao inasahihishwa tofaut na wengine je nikwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapoteza hela zako tu, bora uangalie upande mwingine wa shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom