Nataka kuokoka

Nataka kuokoka

Niliwahi kufuatwa na 'Mtumishi wa Mungu' fulani eti niokokena niwe muumini kwenye Kanisa lao. Nami nikamwambia nipo tayari kwa sharti moja tu la kunifanya kuwa Mhasibu wa Kanisa nikishaokoka. Sasa hivi ni mwezi wa kumi na moja nasubiri kukaribishwa kanisani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom