Umefanya uamuzi mzuri kama kweli umeamua toka ndani ya moyo wako hongera sana Yesu anakupenda.mtafute mchungaji yeyote wa kanisa la kiroho akuongeze sala ya toba na usirudi tena kutenda dhambi
kweli nenda hapo kwa malisaNenda Kwa Nabii Malisa Pale Kanisa la Ukombozi ... Watu Wa Aina Kama Yako Anawapenda Sana ...
Umeona Eee Aende Akaambukizwe Upako Anasumbuliwa Na Pepo Mchafu ... !kweli nenda hapo kwa malisa