Nataka kuokoka nifanyeje?

Tatizo dunia ya leo ni vigumu hata kuamini viongozi wa dini,yaani wanatafuna kondoo bila huruma.

wala hilo lisikusumbue, akikuongoza sala ya toba inatosha sana!!, mengine utasoma biblia plus kuomba roho wa Mungu atakua pamoja nawe!!!.....

mhimu ni kumkiri yeye kua ni BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO,,,ukimkiri kwa moyo na kwa kinywa bila shaka utakuongoza ktk njia iliyo salama........
 
Mungu akubariki tafuta watumishi wakuongoze kwenye toba ya kweli,huyo ni Roho wa Mungu anakuita rudi kwa Kristo ndugu huko nje kuna nyoka,nge na mbwa mwitu,hatujui kesho saa ya wokovu ni sasa.

Muongoze hapa hapa sasa ivi
Mpaka akampate mtumishi huko itakuwa too late
 
Hongera kwa uamuzi wako,

Kwanza kabisa, kujijua unahitaji deliverance, ni moja kati ya hagua kubwa muhusika anakua ameifanya.

Look, unahiyaji kuwa delivered, ili hio roho chafu ya uzinzi ikutoje, baada ya hapo ndio unaweza kudumu kwenye neno.

Ni maombi ya ufunhulivu pekee ndii yatakayo weza kukuweka huru

Angalia hii station utajionea mwenyewe

Www.emmanuel.tv

Watu aina mbali mbali wanapokea ufunhulivu wao
 
Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?

Pia hapo zamani niliwahi kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakini nashndwa kukaa muda mrefu katika neno.

Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu sijui nifanyeje?

U need derivarance!

Bila hiyo utarudi nyuma tena!
 
AFICHAYE DHAMBI ZAKE HATAFANIKIWA

Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. Mwanadamu mwenye hofu ya Mungu yu heri sikuzote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara. MITHALI 28:13,14

“Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu” 1YOHANA 1:8-10.

1YOHANA 2:1-2 ‘Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote’
AMINA!
 
Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?

Pia hapo zamani niliwahi kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakini nashndwa kukaa muda mrefu katika neno.

Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu sijui nifanyeje?
...huyo uliyezaa naye kama hutambadili dini kumjua Yesu Kristo basi ujue mzigo wa majini ni wako. Na inawezekana ulishatupiwa majini. Kama unajua ulishawahi kuokoka rudi haraka kwa Yesu, lasivyo mzigo wa majini utakuelemea! Vijana wengi waliooa wanawake wa kiislamu utakuta macho mekundu kwa sababu ya majini wanayotupiwa. Ogopa sana hiyo kitu.
 
Muongoze hapa hapa sasa ivi
Mpaka akampate mtumishi huko itakuwa too late
Sawa sawa na kitabu cha Warumi10:9-10 biblia inasema ukimwamini na kumkimkiri Yesu kwa kinywa utaokoka,hivyo basi fuatia maneno haya kwa sauti au kwa moyo kwa imani sema,Bwana Yesu nipo mbele zako,naomba unisamehe dhambi zangu zote unioshe kwa damu yako,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu andika jina langu kwenye kitabu cha uzima,kuanzia sasa nakukaribisha moyoni mwangu ili uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen amen,ikiwa umesema sala hii kwa imani basi nakuhakikishia Mungu amekuokoa na dhambi na mauti tangu sasa nenda kwa ujasiri na usitende dhambi tena,tafuta wapendwa wanao amini habari zawokovu wakuimarishe kiroho na uungane nao katika safari hii ya kwenda mbinguni ambayo hata hivyo imekaribia mwisho Yesu yu malangoni!
 
Pole sana! Hao wanawake ndio jaribu lako inakupaswa ulishinde sio likushinde
 
Hongera kwa uamuzi wako,

Kwanza kabisa, kujijua unahitaji deliverance, ni moja kati ya hagua kubwa muhusika anakua ameifanya.

Look, unahiyaji kuwa delivered, ili hio roho chafu ya uzinzi ikutoje, baada ya hapo ndio unaweza kudumu kwenye neno.

Ni maombi ya ufunhulivu pekee ndii yatakayo weza kukuweka huru

Angalia hii station utajionea mwenyewe

Www.emmanuel.tv

Watu aina mbali mbali wanapokea ufunhulivu wao
"Distance is not a barrier"

Binafsi hii chanel ilinisaidia sana nilikuwa ktk hali ya kutokujitambua, na nlikuwa siamini issues za maombi, kukata tamaa na nafikiri nilikuwa mzinzi zaidi ya huyu jamaa mtoa mada ila what happened...basi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom