mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
any...... bora tu iwe na caffeine......lol!
Ngoja nikutengenezee hii iliyoandaliwa kienyeji na haina mchanganyiko na chochote! Ila na wewe uahidi kuwa utamsaidia huyo ndugu aache mawazo ya kuoa mkoa aoe binti atakayempenda. Akianza kutafuta mkoa atachanganyikiwa maana siku hizi kuna mikoa mpaka ya Katavi na jamii kama hiyo.