Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Wana mmu, naona kama vile umri wangu (miaka 35) umetosha kabisa kuwa na mwenza ili tuweze kuanza kutengeneza familia yetu. Lakini hadi sasa sijafanya uamuzi wa kwamba nioe mkoa gani. Lengo ni kwamba baada ya kuoa nisipate stress za ndani ya ndoa ambazo zitanifanya nilazimike kutafuta nyumba ndogo (nitulie kabisaa).
Kuna marafiki ambao wamejaribu kunipa dondoo ya baadhi ya mikoa ambayo wanaamini kuwa nikioa huko nitakuwa mfalme ndani ya nyumba yangu na kamwe sitakaa niwaze kutoka nje ya ndoa yangu, kwani hakuna nitakachokikosa au nitakalolikosa ndani na kushawishika kutafuta nje. Baadhi ya mikoa ninayotajiwa ni Tanga na Tabora. Nawaomba wana mmu mnipe uzoefu wenu ili nikioa nitulie kabisaa.