Nataka kuoa nesi au daktari, naombeni ushauri

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,308
Habari ya muda ndugu zangu,

Baada ya ndoto zangu za kuoa mwalimu kugonga mwamba sasa nina mpango wa kuoa mwanamke ambae ni nesi au daktari. Naombeni wenye uzoefu na wanawake / wenye wake ambao wanataaluma hizi wanipe mawili matatu..

NB: Nipo nao eneo moja la kazi na nimeangaza angaza macho sana wanaonekana wakarimu sana tukiwa nao kazini au waki hudumia wagonjwa, sasa sijajua kiundani katika maswala ya ndoa wapoje.

Wenye mawili matatu wanisaidie, natanguliza shukrani za dhati.
 
Kilichokufanya ugonge mwamba kwa Mwalimu kikemee kisijirudie kwa nurse na daktari
 
Back
Top Bottom