Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

UMALAYA NI NINI??
Screenshot_20241128-222219~2.jpg
 
Ukionesha kuhitaji sana chochote toka kwao basi lazima uone kekundu kekundu..

Mkuu kwa huyo wa kwanza, mpaka anajifungua hukuwqhi kuona picha za mtoto??
Na ulikua unahudumia yeye akiwa wapi na anafanya nini? Kwanini asije muishi nae??

Sisi wengine kwenye kutoa pesa ni wagumu kwelikweli, si ajabu inakuaje unatuma tu bila hata kujiridhisha kama kibendi ni chako??
 
Alinitumia video clip, dogo alipokua na siku 3 ivi.
 
Ahahaha leo bana.....

Oyaa mi siwowi wakuu daaah watu wanalika jamen..

😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hi ya leo siri yangu ila kwakuwa bado nipo hostel ngoja nitoke kwanza huo mwezi wa saba takua rasmi raia
Nitag pisi moja ya chuo
 
Vitu vya kuzingatia;
1. How do she react ikitokea jambo au unapomkorofisha, Kama anabwatuka na kubwabwaja achana nae Ina maana hata kuheshimu.
2. Ni mfupi? Kama ni mfupi achana nae, vina kisirani sana.
3. Ni muwazi kiasi Gani, Kama uwazi wake unautilia mashaka achana nae, lakini Kama unaona ni muwazi na Yuko free kwako basi endelea nae.
4. Matumizi yake ya Simu akiwa na wewe yakoje, je Kuna namna anakuwa hayuko comfortable kushika Simu akiwa na wewe au Yuko huru kupokea na hata akiiacha hababaiki?

Kwa uzoefu wangu, mambo hayo ni muhimu sana uyazingatie.
 
Back
Top Bottom