Basi mimi nitakuwa mwafrika koko.
Soon nacheza karibu na mkorogo maana ushakuwa dili, niliumia siku moja kariakoo waliniita "cheusii naona siku hizi mmebaki wa sample tu". Hebu niulizie kwa kui nitapata wapi mkorogo usiosaliti.
Cheusi mangala mali weye! Asikuchuuze mtu. kui hana ujirani na mkorogo.
Hehe!, mpaka nimecheka.
Mmenikumbusha kisa kimoja kama cha espy. Haikuwa Kariakoo lakini, ilikuwa Posta nilienda kuzurura na cousin yangu, halafu yeye ni wale waliokolea rangi nyeupe akipigwa na jua mpaka anakuwa mwekundu.
Basi wakati tunakatiza mtaani, mara tukasikia mhuni mmoja eti akasema, "cheusi dawa na cheupe dawa njooni basi mnisalimu"
Tukaangaliana na cousin yangu ikabidi tucheke.
Sio kweli lakini kwa unavyohisi wewe kweli, kwani weusi wangapi wanatatuliwa marinda tena kwa buku 5000 tu.Wengi wao wametatuliwa marinda
Bora umwambie huyu asije akajibabua uso bure na mkorogo kisha akabaki na majuto mjukuu. Mkorogo noma sana ni wa kucheza nao mbali kabisa.
Ataingia pabaya sana ...Kwa ufupi hao watu ni wabaguzi sana.
Nahisi ww utanifaa! Napenda mweuzi tiii bila mkorogoHuna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.
Ila ndio hivyo moyo wako umechagua na sio kazi rahisi kuubadilisha.
basi sio waarab hao wanauswahili kama hawa wanawake wenye ngozi nyeusi tupassport of Tanzania kama yako mkuu.