Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume

Jamani kwa wale ambao mmeoa maticha nipeni hints ni kweli wanayosema kuhusu maticha?.
Walikuwa wale kipind cha mwalimu nyerere Hawa wasasa mapenz yako whatsaap na insta hata shule kufundisha tabu

Alfu mwanamke haolew kwa Kaz yake bal mwanamke kumpata alieo Bora Ni mpaka baada ya kuoa ndio utajua Ni aina gani ya mwanamke umepata
 
Mkuu hapa si una bet sasa
 
Mkuu binafsi nakushauri angalia mwenyewe mambo ya siku hizi eti mwalimu ndo wife material yamepitwa na wakati angalia mke anaekufaa alafu mwombe mungu wako akupe mke mwema enough
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom