Nataka kuoa lakini nalala chini...

Nataka kuoa lakini nalala chini...

Hahahah, bado hujapenda maana unachofanya ni kuchagua. Ukipenda mbona hakuna weakness utakayoiona haibebeki.

Anyway, kwakuwa ndoa ni lifetime commitment kuchagua ni vizuri ingawa haijaweza gurantee lifetime happiness. Bora kupenda maana, ukipenda ni rahisi kuvumilia mapungufu kuliko kuchagua kwa akili na kukumbana na unpleasant changes baadaye.

nakubaliana nawe
 
Wala! mimi sichagui sana ndiyo maana I have lots of them..ila kwenye hilo suala la kujaziana mapungufu ndo unakuta wengi wana mapungufu yale yale niliyonayo mimi...halafu mbaya zaidi nawazidi kwa mazuri!

Mfano:

Anakuja binti kukusalimu halafu anakuambia duh hakuna kitu nachukia kama kutandika kitanda. I go like WTH...hicho nacho mbona ni wekness yangu!!!

Haya ni lunch time...naanza kujiandaa na kupika! mdada wala hajishughulishi...unashangaa huyu binti vipi...ndo kwanza bize kubadili muvi!!!

Aargh sijui kama ni kuchagua sana...

Hee!MENTOR, bac bana nimeahirisha,kumbe u hv lots of them!! Kiding!

Ila km wakija hawajishughulishi na chochote,hata ku-pretend!!? hapo hamna ki2,wanapita 2,they a nt serious
 
weeee.....usije ukajuta, fanya michakato mpaka upate chanzo cha mapato cha kuaminika, hujakutana na adha za maisha wewe? kumbuka utazaa atakuja mama mkwe kumkanda maji mkeo sijui na yeye atalala ktk godoro hilo? kumbuka malezi ya watoto......jipange, kama bado jipange tena sana, halafu hii inakuhusu kinomanoma mtu mzima!
 
Mkuu kuoa sio mpango mpango. jipange kiakili zaidi. kama anakupenda mtasaidiana ili mtoke kwa pamoja ndo muoane. ukiwa shimoni mtu anaye kupenda atakurushia kamba kukutoa sio kukufuata shimoni ili mteseke wote. <(") mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom