Nataka kuoa lakini nalala chini...

Nataka kuoa lakini nalala chini...

...hongera kwa kumpata anaekupenda, umepata bahati ya mtende!!!!!

Tena anayekubali kuanzia chini looooooooooooooh!!!!!!!!!! ajabu la dunia. Siku wakifika juu mapenzi yanaongezeka au na tofauti yake pia. All the best ndg, uchichafune, uchimeche, uchimumunye na pia uchecheme.
 
hongera umepata anayekupenda mtaanza pamoja.
 
sio kwamba ana ujauzito wa jemba nyingine sasa anamuona huyu kabwela ndie wa kumkamatia???? Tafakari
mmmm huyo kweli kakupenda, kumbe wapo wa hivi duu.
Ila na kushauri usikimbilie kuoa kama mambo hayaja kaa sawa na unategemea yatakaa sawa hivi karibuni.
Ila na hisi hipo siku utamwaga machozi huyo binti.
 
Acha utoto ww,huo mzigo anaopiga wakimaliza mwezi demu atamchoka,akijiangalia alivozeeshwa afu hata sehemu nzuri ya kulala hamna atarethink uamuzi wake,its a matter of time coz pen.is does nt put food on the table
Consider that as Lucky......
May be anafurahishwa na mzigo unaopiga kunako 6*6
 
Acha utoto ww,huo mzigo anaopiga wakimaliza mwezi demu atamchoka,akijiangalia alivozeeshwa afu hata sehemu nzuri ya kulala hamna atarethink uamuzi wake,its a matter of time coz pen.is does nt put food on the table

utoto wangu ni nini hasa!!!!!!!!

naomba unijibu then tuendelee na mengineyo
 
Kumix se3 na real love

Sijamix na I do understand kwamba Love is no
longer blind,Love is future

sasa nakushangaa from nowhere unaanza kuniita mtoto
next time ufatilie conversation mwanzo mwisho then uanze
ku addresses watu hayo majina
 
Ok acha utu uzima hahahah
Sijamix na I do understand kwamba Love is no
longer blind,Love is future

sasa nakushangaa from nowhere unaanza kuniita mtoto
next time ufatilie conversation mwanzo mwisho then uanze
ku addresses watu hayo majina
 
Penye nia pana njia...usife moyo jitahidi na wengine walianzia huko huko...tena mbona we upo vizuri tu
 
^^
Ila huwa nina umia sana juu ya comment zako nikiwe
Najiuliza sana,,what happened in ur life? Ni maoni tu juu ya keyboard? Au the same way unaishi ktk maisha yako?
I WONDER MORE kwa nini naumia kiasi hiki ikiwa wapo wengi wana-comments?
^^
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom