Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa.

Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
Hongera mkuu Karibu chamani

Jitahidi Uwe na bond kubwa wewe na mwenzio
 
Back
Top Bottom