Nataka kuoa baada ya Ramadhan

Unataka kuoa mtu wa kuoa huna kumbe??? Umechelewa nimewahiwa
doh, haikua rizki yangu kumbe .
bado sijapata, ila kila kitu huanza na nia. nimeweka nia tayari.
sasa naanza step inayofata ya kutafuta.
 
Haya inshaallah ndugu yangu, mwenyezi mungu akufanyie wepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…