andika zako kwanza ndio wakutafute.....
Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.
Weka picha tafadhali tena ukiwa umesimama mikono juu..Wana-jamvi,
Nataka kuoa mtu mwenye sifa hizi:
1. Awe mweupe, asitumie mkorogo.
2. Awe na makalio yenye ukubwa wa wastani
3. Awe na elimu ya Chuo kikuu, Only first degree but not B.A in education
4. Mchangamfu, mcheshi.
5. Awe ni Mtanzania, kabila lolote but more preferably Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro and Kagera regions.
6. Awe tayari kufunga ndoa na mimi Mwezi August 2015.
Please mwanamke mwenye sifa hizi au ana rafiki yake mwenye sifa hizi, ani-pm haraka sana tuanze kuwasiliana. Niko serious!
umenichekesha Mkuu..mtu mwenyewe inawezekana sura kama mizengo,hela huna, mapenzi huna,elimu ya kuunga unga halafu unakuja na vigezo kibaaaao!!!!
thi công sơn bả hãy đến DVN công ty chúng tôi chuyên thi công sơn bả, trang trí nội thất, ngoại thất với giá cả hợp lý nhất. hãy gọi cho dvn.vn chúng tôi để được giá tốt nhất 0916930381