Nipo nazidi kuona anguko la wanaume likiendelea.Hahahaha upo
Huyo sio mwanaume biashara matangazoNipo nazidi kuona anguko la wanaume likiendelea.
Haiwezekani ukinyoa nyusi utapaka kitu au unaacha hivyoMi mwanaume
Mbona una uandishi wa kike kama uandishi ni hivi uongea yako inakuwaje kidole juuNaacha hivyohivyo sipaki kitu
Wewe huwezi gundua mimi nasoma comment zako unajibu kama mwanamkembona uandishi wa kawaida tu huu