Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
- Thread starter
-
- #41
Kama una akaunti e-bay ingia tafuta simu unayotaka tegeshea bei ukishinda unailipia unatumiwa. Uwe na akaunti ya Paypal pia utakayoiunga na akaunti yako ya benki.
Ni makubaliano tu wala haisumbuisasa kaka unaonaje ukainnulia mdogo wako simu ya laki1 na nusu
laki8.50 ukachukua simu unayotaka.. tukiongozana hata iphone x utaipata kwa bei hio jinsi ntakavyolia
Kwa pesa hiyo nunua tecnoBudget yangu ndo iyo boss
Nakukatalia mkuu, maeneo ni mengi sana na wala huwezi kukutana na hao jamaa. Acha visingizio.Mkuu hata nikijenga nyumba wazee wa bomoabomoa watapita. So ni yaleyale tuu
Tecno hawana simu ya Milion bossKwa pesa hiyo nunua tecno
Aahaahhaha Unga Tela mamamaana hapa natumia Tecno s1 tena ya promotion afu mkopo
kwahiyo nikusindikize mkuu?Ni makubaliano tu wala haisumbui
Nakukatalia mkuu, maeneo ni mengi sana na wala huwezi kukutana na hao jamaa. Acha visingizio.
Kwanza ina RAM 4Gb na memory 64gbNipe sababu kidogo
Dhamana yako ni garantii ya e-bay ukizimwa watakurudishia pesa yako ila tangu nianze kununua sijawahi kuzimwa. Ukinunua mtandaoni unaokoa kuanzia 100,000 hadi 200,000 kulinganisha na wauza simu wa Kariakoo au pengine. Paypal itakusaidia kulipa hili jambo lipo e-bay kule kwa hiyo usiulize wakati kujiunga na e-bay ni bure. Kule unaweka anuani yako na namba za simu wakiituma kwa Posta au kwa njia za haraka kama DHL itasafiri ikifika utapigiwa simu utaipokea, utaikagua kisha maisha yanaendelea.Kwa hyo baada ya hapo ntatumaje pesa. Na simu itakuja vipi
Karibu sana mkuu. Jisikie upo nyumbanikwahiyo nikusindikize mkuu?
Naunga mkuuAahaahhaha Unga Tela mama
Mkuu pilato mke wa kuoa ndo huyu hapa. Ni wewe tu hata mahari hutoiNaunga mkuu
[emoji22] maana mwenyewe anavyonidai
simu yenyewe hata 1 ya 10 ya pesa yako haifiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu pilato mke wa kuoa ndo huyu hapa. Ni wewe tu hata mahari hutoi
Mtoto wa kike kwann ukope simu banaaaNaunga mkuu
[emoji22] maana mwenyewe anavyonidai
simu yenyewe hata 1 ya 10 ya pesa yako haifiki
Nakuelewa but you have to be a good risk managerMkuu hakuna kitu hakina Risk. Maana tunako elekea utasema usinunue simu kali maana hujui utakufa lini
Kwanini boss. Lakini kweli sina mkeMkuu pilato mke wa kuoa ndo huyu hapa. Ni wewe tu hata mahari hutoi
Nakuelewa but you have to be a good risk manager
nimekopaMtoto wa kike kwann ukope simu banaaa