Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Budget yangu ndo iyo bossMbona pesa ndogo sana hiyo
Mimi nilinunua Iphone kwa milioni 5 niliweka order kiwandani kwao nikatengenezeea simu maalum
Nunua Iphone 7+
kaka.. hizi simu hizi..... hehehe.. sikushauri ununue simu 1m... bora utoe 650k uchukue iphone 6+ au utafute simu tu yenye uwezo mzuri ambayo haizidi600k... maana ukija kuibiwa/kupoteza... utavurugwa sana.... ni ushauri tuWakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.
Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.
Msaada wenu pls
Mkúu mambo yangu mengine yanaenda na ndo yamenipa faida ambayo nanunua simuChukua tecno ya 150,850 fanyia mambo ya msingi unless hiyo simu iwe inaleta pesa..
Nipe sababu kidogoNunua Samsung 8
Nunua Iphone 7+
Kila la kheri Mkuu,ukinunua usiache kuleta mrejesho humuMkúu mambo yangu mengine yanaenda na ndo yamenipa faida ambayo nanunua simu
Mkuu hata simu ya laki 6 lazima roho iume. Mm nataka kitu roho inapenda.kaka.. hizi simu hizi..... hehehe.. sikushauri ununue simu 1m... bora utoe 650k uchukue iphone 6+ au utafute simu tu yenye uwezo mzuri ambayo haizidi600k... maana ukija kuibiwa/kupoteza... utavurugwa sana.... ni ushauri tu
Bei yake ni 1.5m
Mkuu naona ni simu nzuri ila naona haina Muundo mzuri au ww unasemaje??View attachment 870440
Nunua Cubot Power kule Alibaba na Aliexpress ni bonge moja la simu 128 GB , 6 GB RAM na betri la uwezo wa 6000mAh. Cheki hapa Cubot Power Review - Surprisingly Solid 128GB Smartphone with Good Camera! - Gizmochina
Bei yake ni 1.5m
anhaa sawa utakuja kukumbuka maneno yangu.. muda huo unawaza kwanini usingenunua simu 150k alaf 850k ungewekeza sehemu..Mkuu hata simu ya laki 6 lazima roho iume. Mm nataka kitu roho inapenda.
Zimeshuka sanaa mkuu.