Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,685
- 12,319
Kumbe kuna simu za kike na kiume!!
du! Nimefungua haraka nione simu zenye nyonyo kumbe siyo.
Du! Nimefungua haraka nione simu zenye nyonyo kumbe siyo.
Hivi hakunaga NOKIA JUMA?Simple,
Chukua NOKIA ASHA! !
Du! Nimefungua haraka nione simu zenye nyonyo kumbe siyo.
mimi nilidhani ina papuchi kabisa?
Hahaha,,,,,mkuu mbavu zangu mie!!!!!!
Simple,
Chukua NOKIA ASHA! !
Wadau JF,
Nataka kununua simu ya mkononi ya kike,nadhani wengi mnajua simu za kike almost huwa na rangi kama nyekundu pink nk,iwe NZIMA na touch Screen,kamera ya ukweli na iwe fast kwenye Internet apps.
Bei iwe ya kawaida,sina pesa kihivyo ndio maana nimeshindwa kwenda dukani kununua directly.Simu iwe mpya au Used ila iwe Nzima idara zote.
Aliye nayo ani PM picha yake na specifications zake pamoja na Net price yake.Au tuma email to mbuyi83@yahoo.com
Niko Arusha.
Weka picha na bei yako,wewe ndio mwenye mali mkuu.Then mimi nitasema kama naiweza hiyo bei au hapana..!Una ngapi nkuachie blackberry curve 9220, nmegundua ni ya kike coz kila nnapokutana na mtoto wa kike awe dada ngu, rafiki au demu wangu wanaipenda na kusema niwaachie, so nahisi utakaye mpelekea ataipenda
Weka picha na bei yako,wewe ndio mwenye mali mkuu.Then mimi nitasema kama naiweza hiyo bei au hapana..!
Natumia net zaidi ya miaka 12,najua kugoogle na nikapata more info about blackberry curve 9220 lakini nitajuaje rangi ya simu ya huyo jamaa anayeuza..? Google zipo simu za kila rangi,pia nitaonaje condition yake.? Mimi sio mvivu kama unavyodhani.Kuwa na lugha ya Great Thinkers..!Jx google it, usome specifications na uone hw it looks lyk acha uvivu wa kutaka kutaguniwa
Una ngapi nkuachie blackberry curve 9220, nmegundua ni ya kike coz kila nnapokutana na mtoto wa kike awe dada ngu, rafiki au demu wangu wanaipenda na kusema niwaachie, so nahisi utakaye mpelekea ataipenda