Nataka kununua simu ya kike

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,489
2,000
Wadau JF,
Nataka kununua simu ya mkononi ya kike,nadhani wengi mnajua simu za kike almost huwa na rangi kama nyekundu pink nk,iwe NZIMA na touch Screen,kamera ya ukweli na iwe fast kwenye Internet apps.
Bei iwe ya kawaida,sina pesa kihivyo ndio maana nimeshindwa kwenda dukani kununua directly.Simu iwe mpya au Used ila iwe Nzima idara zote.
Aliye nayo ani PM picha yake na specifications zake pamoja na Net price yake.Au tuma email to mbuyi83@yahoo.com
Niko Arusha.
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
Kumbe kuna simu za kike na kiume!! 

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
7,032
2,000
Hivi simu zenye rangi rangi ni za kike? Make nijuavyo wanatoa hizo rangi nyimgi kwa sababu kuna baadhi ya nchi kwa utamaduni wao hawawezi tumia vitu vyenye rangi yeusi na wengine nyeupe na wapo ambao wao ni njano tu na kazalika. Nazani ndo ilivyo.
 
dr samg

JF-Expert Member
Jul 22, 2012
250
0
Wadau JF,
Nataka kununua simu ya mkononi ya kike,nadhani wengi mnajua simu za kike almost huwa na rangi kama nyekundu pink nk,iwe NZIMA na touch Screen,kamera ya ukweli na iwe fast kwenye Internet apps.
Bei iwe ya kawaida,sina pesa kihivyo ndio maana nimeshindwa kwenda dukani kununua directly.Simu iwe mpya au Used ila iwe Nzima idara zote.
Aliye nayo ani PM picha yake na specifications zake pamoja na Net price yake.Au tuma email to mbuyi83@yahoo.com
Niko Arusha.

Una ngapi nkuachie blackberry curve 9220, nmegundua ni ya kike coz kila nnapokutana na mtoto wa kike awe dada ngu, rafiki au demu wangu wanaipenda na kusema niwaachie, so nahisi utakaye mpelekea ataipenda
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,489
2,000
Una ngapi nkuachie blackberry curve 9220, nmegundua ni ya kike coz kila nnapokutana na mtoto wa kike awe dada ngu, rafiki au demu wangu wanaipenda na kusema niwaachie, so nahisi utakaye mpelekea ataipenda
Weka picha na bei yako,wewe ndio mwenye mali mkuu.Then mimi nitasema kama naiweza hiyo bei au hapana..!
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,489
2,000
Jx google it, usome specifications na uone hw it looks lyk acha uvivu wa kutaka kutaguniwa
Natumia net zaidi ya miaka 12,najua kugoogle na nikapata more info about blackberry curve 9220 lakini nitajuaje rangi ya simu ya huyo jamaa anayeuza..? Google zipo simu za kila rangi,pia nitaonaje condition yake.? Mimi sio mvivu kama unavyodhani.Kuwa na lugha ya Great Thinkers..!
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Mkuu hii kitu ikiwa brand new inatoka shs ngapi?
Una ngapi nkuachie blackberry curve 9220, nmegundua ni ya kike coz kila nnapokutana na mtoto wa kike awe dada ngu, rafiki au demu wangu wanaipenda na kusema niwaachie, so nahisi utakaye mpelekea ataipenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom