Nataka kununua simu ya kike

Nataka kununua simu ya kike

Hivi kwa sasa kwa soko la bongo, bei za blackberries zikoje wadau?

BB wamepost hasara kubwa sana kwa hiyo sidhani kama hizoo simu zina mashiko tena
Over 4.4 bn US dollar loss kwa quarter ya tatu mwaka huu.
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom