1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,140
- 14,241
Burudani kabisaNimeshauri tu kwa nia njema na sijasema pesa haipo, zingatia neno uchumi wa kati.
Hizi gari na hawa mafundi wetu unawezakujikuta unawajua mafundi wote Sar na bado gari inasumbua.
Hapo umeshapoteza pesa ya kununua gari nyingine. Toyota hata kama dashboard imetapakaa alerts ila bado itakusogeza mahali unaenda, hizi gari kabila nyingine uvumilivu huo hazina, umeme mwingi na sensor za kutosha, hapo haujagusa bei ya spare.
Uko salama lakini?
Kununua gari sio mchezo mkuu sio jambo jepesi kabisa..Mtoa mada mbona umekimbia Uzi wako? Isanga family amekuwekea hapo juu uchague gari unataka lkn mwenzetu umekimbia
Jinsi alivyo omba ushauri tu,nikajua hamna mnunuzi wa gari hapo.Mtoa mada mbona umekimbia Uzi wako? Isanga family amekuwekea hapo juu uchague gari unataka lkn mwenzetu umekimbia
Discovery 4 mkuuDiscovery ipi? Kuna generation I, II, III, IV etc Suspension za umeme (Discovery ii na kuendelea) utaziweza ikifika wakati wa replacement? Discovery generation ya kwanza ndio kidogo naona kwa mazingira yetu inafaa; lakini kupata ambayo bado iko kwenye hali nzuri ni kipengele.
Nashukuru kwa ushauri wazo ni Discovery 4Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030
Hahahaa maana unalikuta limepaki...Uwe na pesa isiyo ya mawazo
Kaka Mshana service zake hizi sii za kitoto jamaa angu iliparamia mtaro alipaki mweziFord Ranger unyama sana
Mazoea ya Toyota ebu ngoja tubadilishe LadhaMkuu nimeiona landrover defender hapo...asking price kwa hapo sauzi ni bei gani kwa fedha za mama
Balaa sana πMazoea ya Toyota ebu ngoja tubadilishe Ladha
Hakuwa na bima kubwa? Spare zimejaa Nairobi kwa bei poa kabisaKaka Mshana service zake hizi sii za kitoto jamaa angu iliparamia mtaro alipaki mwezi
π²πKaka Mshana service zake hizi sii za kitoto jamaa angu iliparamia mtaro alipaki mwezi
Kununua gari sio mchezo mkuu sio jambo jepes
Third Part ilikuwaHakuwa na bima
Land rover zile ni rand 345,000 zinakimbizana bei na Land Cruizer pickup za 2010 kuja juu..Mazoea ya Toyota ebu ngoja tubadilishe Ladha
Wauzaji wa parts Tanzania kwa magari ya Ulaya wanauza bei za juu sana muda mwingine bei inazidi mara mbili bei ya kununulia..Kaka Mshana service zake hizi sii za kitoto jamaa angu iliparamia mtaro alipaki mwezi
Na hilo ndio tatizo letu nafikiri ningekuwa mfanyabiashara wa spare parts basi ningekuwa wa kipekee kwa kuuza affordable price maana naona wazambia wanaunua brand nyingi tuu sisi Bado Toyota sana nafikiri hiyo ndio sababu unawaza kusubiria sparesWauzaji wa parts Tanzania kwa magari ya Ulaya wanauza bei za juu sana muda mwingine bei inazidi mara mbili bei ya kununulia..
Hahahaha π π πJinsi alivyo omba ushauri tu,nikajua hamna mnunuzi wa gari hapo.
Hahahaha π π π
Aibu Sana
Hahaaaa Mkuuu.... Nakitaka kwa sababu ninakihitaji .... ninakihitaji kwa sababu nimekikitamaniHahahaha π π π
Aibu Sana
Hata hivyo parts tunaleta kwa bei nzuri inategemeana na muuzaji..Na hilo ndio tatizo letu nafikiri ningekuwa mfanyabiashara wa spare parts basi ningekuwa wa kipekee kwa kuuza affordable price maana naona wazambia wanaunua brand nyingi tuu sisi Bado Toyota sana nafikiri hiyo ndio sababu unawaza kusubiria spares
Mkuu mnaposema Toyota mnaanisha nini maana nina engine za Toyota hapa nabeba kwa ajili ya kwenda kupachika kwenye magari yaliyoua Engine huko Tanzania, ila hizi pick up bei zake za vipuri na Ford ni mtu na mjomba ake..Kama uchumi wa kati, nakushauri ununue Toyota tu mambo yasiwe mengi.
Mshana Jr ananielwa vizuri nnachomaanisha.