comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,392
- 17,095
Mimi ni mtu wa mkoani sio zanzibar, ILA NAJUA INAWEZEKANA MAANA WA ZANZIBAR PIA WANANUNUA SANA MAENEO BARAWe ni mzenji?, au ndo muendelezo wa kuifufua "tanganyika" iliyojifia ?
Hii sasa si aibu?Kama wewe ni Mtanganyika iyo kitu sahau
Watu wananunua viwanja USA washindwe hapo zenji acheni mambo yenu ya ajabu basiKama wewe ni Mtanganyika iyo kitu sahau
Nanunua kama ninavyonunua huku dar na mikoani au nanunua kama foreigner?Watu wananunua viwanja USA washindwe hapo zenji acheni mambo yenu ya ajabu basi
Kila sehemu kuna utaratibu fata nunuaNanunua kama ninavyonunua huku dar na mikoani au nanunua kama foreigner?
Hujajibu swaliKila sehemu kuna utaratibu fata nunua
Unataka ujibiwe vipi? Au tayar unamjibu yakoHujajibu swali
Nauzur hicho kitambulisho unaweza nunua ukifika bei na haizd 50k, Sasa hapo shida ipo wapi?Nasikia muhimu uwe na kitambulisho cha mkazi
Ila wanaojua zaidi watakuja kuleta muongozo vuta subra
Mimi ni mtu wa mkoani sio zanzibar, ILA NAJUA INAWEZEKANA MAANA WA ZANZIBAR PIA WANANUNUA SANA MAENEO BARA
Mimi nilinunua kiwanja pemba lakini miaka mingi imepita na alinisaidia dada mmoja mpemba,lakini nahisi sheria zimebadilika sana toka kipindi hichoHatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Nyerere ni kama alitapeliwaHayo mambo yapo kisgeria nadhani, mzenji ana haki ya kumiliki ardhi zenji + bara. Kutoka huku kwenda kumiliki ardhi zenji inakatazwa kwa sababu ardhi hile ni ndogo.
Na hata kimtizamo wa kawaida utaungana nami kwamba wewe ungekua mzenji na wakaruhusu tuje kununua ardhi zenji muungano ungefia siku hiyohiyo.
SAsa kwanini bara anajitoa sana kuubeba muungwno huu, hapo nadhani nyerere na wafuasi waje waulizwe
View attachment 3547480
Bado una kimiliki.?Mimi nilinunua kiwanja pemba lakini miaka mingi imepita na alinisaidia dada mmoja mpemba,lakini nahisi sheria zimebadilika sana toka kipindi hicho
Mzenji anaruhusiwa kununua ardhi Tanganyika?Kama wewe ni Mtanganyika iyo kitu sahau
Sio alitapeliwa , yeye kuna vitu ndo alivifosi kwa nguvuNyerere ni kama alitapeliwa
Yeah, bila tavu yeyote ileMzenji anaruhusiwa kununua ardhi Tanganyika?