Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 293
Congrats young lady,, ushauri nunua gari common hapa bongo ili usipate shida spares maana ninajua ndo gari yako ya kwanza na ndio unaanza maisha sitaki upate stress za gari..
Sema budget yako ndo inatisha kama utaweza kupata gari from japan plus ushuru na kodi maana gari nyingi CIF value tu ndo inarange kiasi karibia na icho ulichonacho,,
But kwa ushauri Toyota Vitz, Raum 2004, Corolla 111, Spacio ya 2000 au hata 2003 nayo ni nzuri sema kila nikiumiza kichwa jibu linanijia atleast upate 10m ungepata gari hizo straight from japan nzuri kabisa..
But ushauri wa ziada kama upo na Mwenza jipange na mwenzako mnunue Raum ya 2004, IST au corolla.. ( Ila sio mbaya hata kama mwenyewe unaweza kujivuta kuongeza budget ufikie hiyo nayosema)
Angalizo magari ya mikonon kwa watu mara nyingi vimeo,,, simshauri mtu gari la kwanza atalohitaji kukaa nalo btn 3 to 4 years na zaidi anunue kwa mtu bongo

Ushauri wangu wa bure kama unataka kununua gari kwa matumizi ya hapa mjini nakushauri ununue gari ya kuanzia cc 600-1300. Matumizi yake ya mafuta yako vizuri kama ni kwa mizunguko ya mjini tu toka nyumbani kwenda kazini, kanisani/msikitini na kuzungukia ndugu jamaa na marafiki.
Lingine kama utataka kulitumia kwa matumizi ya shamba ufikirie a 4wheel car ambayo katika range ya cc nilizoonyesha hapo juu utapata gari kama ya Pajero Junior au Suzuki Jimny.
La msingi ni kuzingatia unataka kwa matumizi gani. Wengi wanakurupuka kununua magari makubwa ya 2000cc wanaishia kukopa hela za mafuta na vipato vyenyewe vya mwezi kwa mwezi isitoshe matumizi makubwa ni home-kazini-home. Jumapili kanisani au msikitini.
Zingatia hayo.
Nakushauri uagize tu mwenyewe. The rest ni utata mtindo mmoja.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wana JF habari za jion!
Tafadhali wenye uzoefu naomba msaada wa mawazo, nahitaji kununua gari dogo lenye mwonekano mzuri, nataka kuagiza nje, nina bajeti ya m. 6.
Naomba mawazo ya aina ya magari yanayopatikana kwa bei hyo, kwa kutizama hasa upatikanaji wa spare, utumiaji wa mafuta n.k... Kulingana na uzoefu wenu...
Thax peoples.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Congrats young lady,, ushauri nunua gari common hapa bongo ili usipate shida spares maana ninajua ndo gari yako ya kwanza na ndio unaanza maisha sitaki upate stress za gari..
Sema budget yako ndo inatisha kama utaweza kupata gari from japan plus ushuru na kodi maana gari nyingi CIF value tu ndo inarange kiasi karibia na icho ulichonacho,,
But kwa ushauri Toyota Vitz, Raum 2004, Corolla 111, Spacio ya 2000 au hata 2003 nayo ni nzuri sema kila nikiumiza kichwa jibu linanijia atleast upate 10m ungepata gari hizo straight from japan nzuri kabisa..
But ushauri wa ziada kama upo na Mwenza jipange na mwenzako mnunue Raum ya 2004, IST au corolla.. ( Ila sio mbaya hata kama mwenyewe unaweza kujivuta kuongeza budget ufikie hiyo nayosema)
Angalizo magari ya mikonon kwa watu mara nyingi vimeo,,, simshauri mtu gari la kwanza atalohitaji kukaa nalo btn 3 to 4 years na zaidi anunue kwa mtu bongo
Asante sana MkuuHii inatumia hata maji ila kama wapenda mashindano ya speed haifai
kaaaaa wewe Sumu nitake radhi lol
ndo umeamua kabisa uje unishauri ni njia gani nipitie kufika Israel sio eee??
Soon wakati naanza job nilipewa corolla 111 na B mkubwa inisaidie movement za mjini,,, nikawa nalalamika gari haina swaga si unajua ujana nini nikakopa hela somewhere nikanunua GX 110 mbona nilikoma kuanzia mafuta, spares mpaka nikaikumbuka corolla yangu niliyoirudisha home kwa kejeli..
Mambo yalivyozidi unga nikaliuzilia mbali tena kwa bei ya hasara nikarudi home kinyonge kuifata corolla yangu ya zawadi,, ndo nasukuma nayo mpaka leo mwaka wa pili huu lakini kama mpya, nakaa mwenge nafanya kazi town budget ya mafuta 20,000 wiki nzima na sishushi kioo,, vifaa bei rahisi mbaya nikagundua kweli ukubwa dawa,,, na sina mpango wa kubadilisha kabisa maana sitaki stress.. Nimeshaapa sitanunua magari ya mbwembwe mpaka nakufa nawashangaa tu vijana wanavyokimbilia Verossa nowdays,,, nawacheka tu na corolla yangu haina stress za mafuta mda wote unakula A.C kitu lita moja una km almost 15 za ac,,
Ila raum 2004 ina shape nzuri na inatumia spare za corolla haina stress kabisa,,
Hii inatumia hata maji
ila kama wapenda mashindano ya speed haifai

Swali la nyongeza kwako na jf wote!
kati ya hiyo Raum na Spacio ya mwaka huo pia,ipi zaidi?maana zinafanana mengi hata ingini zao zina ukubwa sawa(cc1500) na ni VVTi!pia,consumption ya mafuta ikoje kwa injini hiyo?
Hivi why watanzania tunathamini uongo au kujifanya tunajua wakati watujui au kujifanya tunacho wakati hatuna.
Toyota corolla 111 cc zake ni kuanzia 1490 hadi 2000 sasa basi kwa gari hiyo hata uipeleke kwa mchungaji ikaombewe haiwezi kutumia sh elfu 20 kwa week. Hata usipowasha ac. Mimi nimekaa bamaga na ofisi posta nilikuwa natumia starlet na kila nilikuwa naweka petrol elfu 10 . Great thinker tujitahidi tuwe wakweli. Kutokujua kitu si dhambi