Nataka kununua cm ya kama 700

Nataka kununua cm ya kama 700

The-unknown

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
1,707
Reaction score
1,990
wadau msaada wenu maana mm c mtaalamu saana wa cm,n cm gan naeza nunua kwa bei hiyo au around 600-900 ambayo itanifaa
napendelea zaid nokia
 
unamaanisha laki saba. nitafute nikuuzie Samsung gallaxy s4 kwa laki tano tu. Mpyaa.
 
daah !!! heading imenistua kidogo nikajua unatafuta simuu zifikazo idadi ya mia7 kumbe mia7 ni mihelaaa haya ngoja wauzaji na matapeli waje ili munegotiate mambo yakae sawa
 
Back
Top Bottom