Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

carina hapana, nilitaka nichukue verosa lkn nkapenda alteza koz gari iko simple sio luxurie sana mkuu; but thanks

Altezza ni nzuri, very strong, very reliable. Ila uwe mstaarabu, maana ziko chini saana. Kama ni mtu wa kuachia gari kwa rafiki zako mmmh it might not be a good idea, labda kama utaamua kuinyanyua. Ila one thing, it is not that comfortable, maana ile ni basically a sport saloon car, so suspension zake zinakua ngumu kidogo ili kuifanya iwe stable hasa kwenye kona
 
Watu wengi walinunua Altezza kichwa kichwa bila kujua kwamba zimetofautiana engine size. Mtu anataka tu altezza bila kujua Altezza zina engine aina tatu tofauti. Ukiona wengi wanazikimbia jua kanunua yenye engine kubwa

Very true, watu wengi walikimbilia ile rs200 yenye engine ya 3S-GE ya 4 cylinders wakifikiri ina consumption kidogo kuliko ile as200 yenye engine ya 1G-FE yenye 6 cylinders.

Basi ukweli ni kwamba ile rs200 yenye 4 cylinders ina nguvu saana kuliko yenye 6 cylinders. ile rs200 in 210 horsepower wakati ile yenye 6 cylinders in only 158 horsepower. So bora ununue 6 consumption ni much better kuliko ya 4 cylinders.
 
Hiyo RS200(200hp) fuel consumptiin combined ni 9.8L per 100 km ambayo ni roughly 10km/L Hiyo ya 160hp ambayo ni 6 cyclinder fuel consumption ni 100km/14L ambayo ni roughly 7.14km/L na 3.0L ya 220hp ni 100/16L ambayo ni roughly 6.25L/km kuzipata hizo inategemea uendeshaji, service, either unaendesha mjini au nje ya mji...source ni auto-data.net
 
Mjerumani haitaji turbo mzee power ya engine za bmw hailezekI kwasisi tunaomiliki bmw tunaziita beast au widow
 
Jamani nauza gari yangu Toyota avensis salon ya mwaka 2004,,
Cc 1980
All wheel drive
Bei m9.
 
Wazoefu wa magari naomba kuuliza gari ambayo inafaa kwa safari za vijijini ambapo hakuna lami.vip kati ya suzuki escudo na RAVA 4 ?
Mimi ningekushauri Escudo kwasababu kwanza ni gari ngumu kuliko RAV 4 model yoyote lakini pia Escudo nyingi ni 4wd kwa hiyo ni nzuri pia maana popote wewe ni kwako kwenye tope mchanga kilima kikali nk
 
Back
Top Bottom