Cholo31
New Member
- Jul 9, 2025
- 2
- 1
Kanaenda mb nyingi sana mpaka keroWakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Kanaenda mb nyingi sana mpaka keroWakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Fanya hivi watangazie watu wanaokuzunguka karibu wenye uhitaji wa Internet wa connect kwa malipo kidogo say 1000/= kwa sikuTatizo nipo peke yangu, sasa kuchukua unlimited naona gharama
Sawa mkuu ntajaribu hiyoFanya hivi watangazie watu wanaokuzunguka karibu wenye uhitaji wa Internet wa connect kwa malipo kidogo say 1000/= kwa siku
Ngoja nijichange ninunue kubwa tuKanaenda mb nyingi sana mpaka kero
Brother ile Halotel ni kwel unlimited mbn naskia kuna GB kama 24 zikiisha izo bc inakatabei ya router na laini yke 180k
bundle 50k
Brother naomb msaada kdg nataka kujiunga ich kifrush cha unlimited ila naona wameniandkia 24,6GB awajaandka unlimited kweny furaha, je ndo ichoicho unlimited alafu pia nmeskia kuna limit ya GB kma 24 iv zkiisha inakataMi ninayo laini ya halotel ya m2m kifurushi cha 50000 ni unlimited
Umenunua rafiki???Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Wewe ndo mama ndege😂😂😂😂😂😂Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
nasikia huwa wanaandika tu kam boshen ila ni unlimited kwel unatumia frsh hadi mwezi kuishaBrother naomb msaada kdg nataka kujiunga ich kifrush cha unlimited ila naona wameniandkia 24,6GB awajaandka unlimited kweny furaha, je ndo ichoicho unlimited alafu pia nmeskia kuna limit ya GB kma 24 iv zkiisha inakata
Mshahara wa mtuNunua unlimited ya airtel sababu asa hivi bei yake ni tsh 110,000 tu maduka ya aritel
Kununuwa pocket wifi na kununuwa bandle la kawaida ni sawa tu.Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Nimenunua kubwaUmenunua rafiki???
Picha yake tafadhali.kako frsh ila inategemea na eneo unaloishi
kauzwa 45k to 50k unapata GB 20 bure kwa mwezi
kurecharge vifurushi vyake ni kuanzia 10k unapata GB 10, 20k unapata GB 20 hakan unlimited and so...
hakaendi sana MB
tatizo lake kuu hakakai na charge alaf kakipata watumiaje zaidi ya watatu kachemka kam oven ila kako frsh kwa matumiz yako binafs au na dem wko mnasave sana
Ipi hiyoNimenunua kubwa
Airtel 5GIpi hiyo
Ushawai tumia au unatumia?nasikia huwa wanaandika tu kam boshen ila ni unlimited kwel unatumia frsh hadi mwezi kuisha