Nataka kununua Airtel 4G pocket Wi-fi

Nataka kununua Airtel 4G pocket Wi-fi

- Fikiria tena; Unlimited ndio mpango mzima, Kwa sasa speed ya internet ni kubwa, GB utakazonunua hazimalizi mwezi kwa hayo matumizi ya Videos
Asante mkuu ngoja nijipange nichukue hiyo unlimited
 
1751643292106.jpeg
 
Ni kazuri kama uko kwenye safari zako!
Naamini kwa matumizi yako,recharge ya tsh.20 elf per month kanakutosha.
 
Kwa ushauri tu ni bora mtu achukue iko kipocket cha yas kuliko airtel, au kama sio mtu wa movement chukua halotel unlimited ni 50k kwa 20mbps na 79k kwa 30 mps, natumia ya 79 na kwakweli iko biziri mno
 
Shida malengo ya matumizi, wengine ni kuperuzi na vichache vichache vya kazini kwako kwahy unakuta bora haka kadogo,
Ila mimi sometimes najikuta natumia 20-30K , nimewahi waza bora kubwa lakini akili inagoma
 
Kwa ushauri tu ni bora mtu achukue iko kipocket cha yas kuliko airtel, au kama sio mtu wa movement chukua halotel unlimited ni 50k kwa 20mbps na 79k kwa 30 mps, natumia ya 79 na kwakweli iko biziri mno
Kina gharama kubwa mkuu, nimeambiwa laki na nusu
 
Back
Top Bottom