Kumbe halotel wanayo ya 50k unlimited?ndio nipokete wifii ila kama unamatumizi makubwa ya bando ni vyema ukanunua cha halotel unlimited 50k per month unaunga tv smart, lqptop and so on. ila kabla hujanunua angalia eneo unaloishi halotel haisubui maan kuna baadhi ya maeneo miyayusho
Kumbe halotel wanayo ya 50k unlimited?
Je, gharama za kifaa (router) unaponunua mara ya kwanza inakuwaje?
Maana Airtel ukinunua kifaa kwa mara ya kwanza kwa 110k unapewa unlimited bundle kwa mwezi mzima kwa kasi ya 30mbps.
Then miezi inayofuata unaweza downgrade ukawa unanunua kifurushi cha 70k unlimited kwa mwezi.
Mimi nimeulizia router ambayo ni unlimited kama alivyosema mdau hapo juu kwamba halotel wana unlimited kwa 50k kwa mwezi.Halotel wana pocket wifi inauzwa tsh. 60,000 nafikiri.
bei ya router na laini yke 180kKumbe halotel wanayo ya 50k unlimited?
Je, gharama za kifaa (router) unaponunua mara ya kwanza inakuwaje?
Maana Airtel ukinunua kifaa kwa mara ya kwanza kwa 110k unapewa unlimited bundle kwa mwezi mzima kwa kasi ya 30mbps.
Then miezi inayofuata unaweza downgrade ukawa unanunua kifurushi cha 70k unlimited kwa mwezi.
Hicho cha halotel kulipia bei gani kwa mwezi?ndio nipokete wifii ila kama unamatumizi makubwa ya bando ni vyema ukanunua cha halotel unlimited 50k per month unaunga tv smart, lqptop and so on. ila kabla hujanunua angalia eneo unaloishi halotel haisubui maan kuna baadhi ya maeneo miyayusho
Si ndiyo yale yale tuNenda halotel shop nunua line ya M2M minimum ni GB 18 kwa sh 15000 kwa mwezi
Nipo peke yangu naona ntakuwa nagharamika sanaNunua unlimited ya airtel sababu asa hivi bei yake ni tsh 110,000 tu maduka ya araritel
Halotel hawana unlimited ya 50k, bali wanakupa gb , amabyo kimsingi sio unlimitedKumbe halotel wanayo ya 50k unlimited?
Je, gharama za kifaa (router) unaponunua mara ya kwanza inakuwaje?
Maana Airtel ukinunua kifaa kwa mara ya kwanza kwa 110k unapewa unlimited bundle kwa mwezi mzima kwa kasi ya 30mbps.
Then miezi inayofuata unaweza downgrade ukawa unanunua kifurushi cha 70k unlimited kwa mwezi.
Alafu kweli, sema jirani yangu anahama ningeshea nayeUngepata mtu mkashea ile ya 70k unlimited ndio inamake sense hizi za kupiwa jau sana.
Hiyo ya Airtel USILOGWE ukainunua utalia kilio cha mbwa mwizi..Alafu kweli, sema jirani yangu anahama ningeshea naye
Mi ninayo laini ya halotel ya m2m kifurushi cha 50000 ni unlimitedHalotel hawana unlimited ya 50k, bali wanakupa gb , amabyo kimsingi sio unlimited
Airtel ni usenge ila halotel ni unyama kifurushi cha 50000 unlimitedHiyo ya Airtel USILOGWE ukainunua utalia kilio cha mbwa mwizi..
Narudia, USILOGWE!
50k per month unlimitedHicho cha halotel kulipia bei gani kwa mwezi?
wanayo unlimited bei ya chini ni 50k na kuendelea kulingana na speedHalotel hawana unlimited ya 50k, bali wanakupa gb , amabyo kimsingi sio unlimited
Na kinauzwa bei gani?50k per month unlimited
Mtandao wake unazingua sana?Hiyo ya Airtel USILOGWE ukainunua utalia kilio cha mbwa mwizi..
Narudia, USILOGWE!
Nunua unlimited ya airtel sababu asa hivi bei yake ni tsh 110,000
Baadaye recharge yake inakuwaje?Nunua unlimited ya airtel sababu asa hivi bei yake ni tsh 110,000 tu maduka ya aritel