Nataka kumuua mbwa

 
Look how love the dog has to you.. Amekula sumu kwa ajili ya kukulinda wewe.. Now amepoteza uwezo wake unataka kumuua... Unaroho mbaya sana we jamaa
Hizo ndio tabia za maboss wetu wanakuthamini unapokuwa na uwezo wa kubwekea wengine
 
Dah, aisee uko wapi, namwomba huyo mbwa. Mbwa kwangu ni sawa na binadam. Nawapenda hadi huwa natamani nilale nao chumbani kwangu. Dont kill your dog. Mbwa ni mnyama aliye karibu sana na binadam. Mi wangu ni mwoga anabweka akiwa anakimbilia bandani mwake, ila ndo anaogopwa na majirani balaaa. Aliniudhi siku moja kala mayai 10, nlichofanya ni kumfungia bandani kila inapoitwa asubuhi. Maana vibaka hawapatani kabisa na mbwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…